Social Icons

Pages

Friday, May 22, 2015

EXCLUSSIVE: MSANII WA KOMEDI MTU CHUMA JEMBE NDANI YA TONE RADIO-TZ , AFUNGUKIA MENGI.

Mtu Chuma Jembe akiingia Tone House ambapo ndio makao makuu ya Tone Multimedia Group , Blogs za Mikoa ikiwemo Mbeya yetu, Simiyu yetu na zenginezo, Tone Radio Tz na Blog mpya ya Komediani wote wa Bongo, Komedi zone.
Hapa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Komedi Zone, Fredy Anthony.
Hahaaa haaaa! Akimvunja mbavu.
Mchekeshaji Mtu Chuma Jembe akiwa ndani ya Studio za Tone Radio-Tz katika Mahojiano juu ya kazi zao za Komedi
Baada ya Mahojiano ndani ya Tone Radio Radio-Tz
Hapa Mtu Chuma Jembe akiwa katika Production House ya Tone Multimedia Group

Msanii wa komedi anayekuja kwa kasi kupitia 'brand' ya 'Sharomilionea', Mtu Chuma Jembe, mapema leo hii ametembelea studio za Tone Multimedia Group zilizopo maeneo ya Mwenge jijini Dar na kufanya mahojiano kuhusu sanaa yake ya maigizo ya vichekesho na maisha yake binafsi.

Msanii huyo ambaye ameuza sura katika video ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hussein machozi amefunguka mengi ambayo kupitia Komedi Zone utaweza kuyafahamu na kumjua kiundani msanii huyo.


Ikiwa una Taarifa yoyote kuhusiana na Komedi, tangazo, Filamu mpya na mengineyo tuma kupitia Whatsapp namba +255653146563 au +255765056399


No comments:

Post a Comment