Msanii wa
Komedi anayeuza sura kupitia kipindi cha Mizengwe kinachorushwa na kituo cha
televisheni cha ITV, Maringo Saba amewataka mashabiki wake wajue kwamba yeye ni
Mtanzania na siyo Mkongo kama inavyojulikana.
Akizungumza
na Komedi zone  Maringo Saba alisema kuwa hiyo inatokana na jinsi anavyoigiza kwa lafudhi
ya Kikongo ambapo inawafanya watu wengi wawe na dhana kuwa yeye ni Mkongo na si
Mtanzania.
Na Komedi Zone. 
No comments:
Post a Comment