 Tiny white akiwa lokesheni na msanii mwenzake.
Msanii machachari wa komedi Bongo, Tiny White amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa muvi yake mpya iliyojaa vichekesho vya kukata na shoka.
Akipiga stori na Komedi Zone, Tiny White ambaye ameshacheza muvi kibao zikiwemo Baki Njia Kuu, Kibonge mdudu na nyinginezo alisema kuwa mashabiki wake wajiandae kuitazama muvi yake mpya inayokwenda kwa jina la Mume wa Kiswahili ambayo mwenyewe amesema kuwa siyo ya kuikosa.
Akifunguka zaidi Tiny White alisema kuwa muvi hiyo ya komedi imejaa scene kibao za kuvunja mbavu huku akiitaja scene moja ambayo alimuonea wivu mkewe kisa kikiwa ni kumtazama mbuzi beberu kama scene iliyomuumiza sana kichwa.
"Yaani ile scene hadi leo nikiitazama naiona ngumu sana maana ilifikia hatua ikanitaka nimwambie mke wangu namchinja yule mbuzi kisa wivu..kwa kifupi siyo muvi ya kukosa nimecheza kama mswahili kweli," alisema tiny white.

No comments:
Post a Comment