Social Icons

Pages

Saturday, May 16, 2015

MTANGA: MWANANGU NADYA NI KOMEDIAN ZAIDI YANGU





 
 Mtoto wa Mtanga Nadya nyuma ni mtoto wake mwingine Shadya.
 Mtanga
Msanii wa komedi anayeuza nyago kila wiki kupitia kipindi cha vichekesho kinachorushwa na chaneli ya EATV,Mtanga, amesema kuwa mwanaye ni bonge la muigizaji kuliko yeye.

Akichezesha taya na Komedi Zone,Mtanga alimnadi mwanaye huyo anayeitwa Nadya, kuwa mara kadhaa ameonesha kurithi kipaji chake kwa kuwachekesha mara kwa mara nyumbani na kuongeza kuwa ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho kupitia runinga.

"Yaani Nadya amefikia hatua anamuigiza kila msanii anayemuona kwenye runinga, huyu ni zaidi ya kipaji aisee," alisema Mtanga.

No comments:

Post a Comment