Social Icons

Pages

Wednesday, May 20, 2015

TAUSI: MPENZI WANGU MREFU NA BONGE LA HANDSOME

 Tausi

 Msanii wa anayefanya vizuri kwenye Komedi Bongo, Tausi Mdegela amefunguka maisha yake binafsi na hasa suala la kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ambapo amethibitisha jambo hilo, komedi zone inakudondoshea.

Akizungumza na Komedi Zone, Tausi alisema kuwa yeye kama mwanamke anastahili kuwa katika uhusiano wa mapenzi ambapo kwa sasa ameweka wazi kumpata 'ini mkalia nyonga' wake ambaye hata hivyo hakutaka kumweka hadharani, lakini alisema kuwa ni mwanaume mrefu na handsome boy wa nguvu.

"Yah ninaye mpenzi na ni mrefu na handsome wa nguvu, mimi si ni mwanamke jamani! sitaki kumweka hadharani sasa lakini mambo yakiwa tayari nitamweka wazi," alisema Tausi.

Na Komedi Zone

No comments:

Post a Comment